KOMBE LA DUNIA S a.......Bila shaka socca fiver imetukamata wote barani Afrika kwa mtaji huo mombasani kama kawaida tunatupa karata zetu zote kwa timu za kiafrika. kila lakheri kwa wale watao kwenda kulitazama live kwasisi tusio penda bughudha za kubanana banana twalisubiri kwa hamu runingani.
sawasawa mzee naiona jamvi lishatandikwa..kwaukweli homa nami imenishika naningepeda kwenda kutibiwa huko south ila uwezo sina je mombasani hamutoi tiketi za buree.. niswali tu usimind
ReplyDelete